Monday, December 8, 2014

Kipozi: Uhuru wa habari si upotoshaji

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; ...

watumiaji wa simu kudhibitiwa

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa ameagiza wataalamu  kutayarisha mwongozo kwa ajili ya kampuni za simu, utakaoelekeza jinsi ya kutuma meseji katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu mwakani. Mbarawa alisema jana alipokuwa akifungua mkutano wa kuadhimisha siku ya  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Jumuiya ya Mawasiliano Afrika, Jijini Dar es Salaam, ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Waziri Mbarawa alisema, mwakani ni kipindi cha uchaguzi hivyo kuna baadhi ya watu wamekuwa wakitumia simu kutuma meseji ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa raia. “Watu wanatuma meseji hizo, nimeshawaagiza wataalamu kutoka wizarani na TCRA kwa ajili ya kuandaa mwongozo huo kwa ajili ya kutuma meseji kwa sababu teknolojia...

Chuo Kikuu chatoa zawadi kwa wanafunzi

Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu Ardhi (ARU) kimewazawadia wanafuzi 130 wa masomo mbalimbali zawadi zenye thamani ya zaidi ya shilingi mil. 60 kutokana na ufaulu mzuri katika masomo yao. Zawadi hizo ni fedha taslimu, mashine za upimaji ardhi na laptop katika hafla fupi iliyofanyika chuoni hapo Jijini Dar es Salaam. Akikabidhi zawadi hizo, Makamu Mkuu wa chuo hicho Idrissa Mshoro alisema kuwa wanafunzi wa kike wameendelea kufanya vizuri katika masomo yao ambapo wamefikia wastani wa asilimia 40 dhidi ya asilimia 30 kwa wanaume. Alisema miongoni mwa wanafunzi waliopata zawadi hizo hawakuwa na sifa za kujiunga katika chuo hicho mpaka walipopewa kozi fupi ambapo baada ya usaili walifaulu. Profesa Mshoro alisema kuwa waliamua kuwa na mfumo huo baada ya kuona wanafunzi wengi wanataka kujiunga na...

ARU kudahili wanafunzi zaidi ya 7000

Na mwandishi wetu  Chuo Kikuu Ardhi (ARU) kinatarajia kudahili wanafunzi 7700 ifikapo 2016/17. Mwenyekiti wa Baraka la Chuo Kiki Ardhi Tabitha Siwale alisema hayo kwenye mahafali ya nane yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.  Alisema ili mpango huo utekelezwe chuo hakina budi kuongeza idadi ya wahadhiri na wafanyakazi wengine, kupanua miundombinu pamoja na kuongeza vifaa vya kujifunzia na kufundishia.  "Chuo bado kinakabiliwa na changa moto mbalimbali zikiwemo idadi ya wahadhiri, uchakavu wa miundombinu, upungufu wa vyumba vya miha dhara, maabara, malazi kwa wanafunzi na nyumba za wafanyakazi, "alisema.  Siwale alisema ili mpango huo utekelezwe zinahitajika shilingi bil 44 katika miaka mitatu ijayo.  Kwa upande wake Makamu Mkuu Wa ARU, Profesa Idrissa Mshoro...

NHC kutatua matatizo ya wananchi

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; ...

Pages 321234 »
Twitter Facebook